Kikao cha kwanza cha Bodi ya Barabara cha Mkoa wa Geita

Mbunge wa Jimbo la Busanda Mhe. Laurensia Bukwimba akiendesha kikao  cha kwanza cha bodi ya barabara leo  kwa muda baada ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kupata dharula wa pili kutoka kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa Bwn Gesimba wakiwa katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita



 Wajumbe wa kikao  wakifuatilia makabrasha ya kikao


Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumzia changamoto za Barabara katika Jimbo la Bukombe.


Diwani wa Kata ya Bugulula na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Geita Mhe. Elisha Lupunga  kizungumzia hali halisi ya miundo mbinu ya  Barabara katika Kata yake na Halmashuri nzima ya Geita.




Comments