WATUMISHI WA AFYA-BUKOMBE WAKUTANA NA MBUNGE WAO



 Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Dr. Majaliwa Sosoma akizungumza na Watumishi wa Idara ya Afya Bukombe kabla ya kumkaribisha Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na Watumishi wa Idara ya Afya Bukombe.


Watumishi wa Idara ya Afya Wilaya ya Bukombe akimsikiliza Mbunge wao Mhe. Doto Mashaka Biteko.

Mmoja wa Watumishi waliouliza maswali katika kikao hicho cha Mbunge.

Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Mkoa wa Geita Dr. Mathias Sweya akizungumza na Watumishi wa Idara ya Afya Wilaya ya Bukombe wakati wa Kikao cha Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko







Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko akiangalia hali halisi ya uhaba wa miundo ya maji katika chumba cha upasuaji mara alipotembelea Hospitalini hapo.  

Hii ndio hali halisi ya Chumba cha Upasuaji (Theatre) cha Wilaya ya Bukomba 


Comments