Wakazi wa Mji wa Katoro wampokea Raisi Magufuli kwa Shangwe Kubwa

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wakazi wa Katoro Mkoani Geita kwenye Mkutano wa Raisi Magufuli. 

Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Ezekiel Kyunga 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Geita Mhe. Joseph Kasheku Msukuma akizungumza na wakazi wa Katoro kwenye wa mkutano wa Raisi Magufuli.
 
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Medard Kalemani akieleza mafanikio na changamoto za Nishati na Madini kwenye Mji wa Katoro na Mkoa wa Geita kwa Ujumla.

Mke wa Raisi Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wakazi wa Katoro Mkoani Geita.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa mji wa Katoro Mkoani Geita.
Picha ya baadhi ya wananchi wa mji wa Katoro wakimsikiliza Raisi Magufuli.

Comments