TASAF AWAMU YA TATU YAENDELEA KUGAWA FEDHA - BUKOMBE


Diwani wa Kata ya Ushirombo Mhe. Lameck Warangi akizungumza na wakazi wa Kata ya Uyovu alipokwenda kumwakilisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe katika zoezi la TASAF.

Wananchi wakisubiri zoezi la ugawaji fedha za TASAF katika ofisi ya Kata ya Uyovu.
Mmoja wa Maafisa toka Halmashauri akihakiki majina tayari kwa kuanza ugawji.
Kamati ya Kijiji ya Mfoko wa TASAF wakiandaa mazingira kwa ajili ya ugawaji.

Comments