RAISI MSTAAFU WA ZANZIBAR ALHAJ ABOUD JUMBE AFARIKI DUNIA


Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Abuod Jumbe leo amefariki dunia baada ya kuugua kwa mda mrefu ambapo alikuwa akipatiwa akipatiwa matibabu nchini India. Mzee Jumbe amefariki akiwa na umri wa miaka 96 ambapo tarehe 14-06-2016 alifikisha.
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi.

Comments