Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Geita awasili Nyang'wale

Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Geita Mhe. Doto Mashaka Biteko akisalimiana na wanachama wa jumuiya ya wazazi wa Wilaya ya Nyangwale


Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Geita Mhe. Doto Mashaka Biteko akisaini kwenye kitabu cha wageni mara alipowasili Wilayani hapo katika mkutano wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilayani Nyang'wale.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Geita Mhe. Doto Mashaka Biteko akihusika katika ujenzi wa choo cha wanafunzi katika Shule ya Sekondari Msalala iliyoko Wilayani Nyang'wale ikiwa ni hatua ya uhamasishaji wa ujenzi huo ili kuwanusuru wanafunzi ambao kwa sasa wanapata huduma hiyo porini na kuwahatarishia maisha kwa kung'atwa na wadudu pamoja na magonjwa ya milipuko.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Geita Mhe. Doto Mashaka Biteko akimwaga zege  kwenye  renta ya choo hicho.
Mbunge wa Jimbo laNyang'wale Mhe. Husein Kasu nae pia akihusika katika ujenzi wa choo hicho.

]Picha ya Choo kipya kinachojengwa
Choo wanachotumia wavulana kwa sasa na kuwasababishia kwenda porini ili kupata huduma hiyo.

Hali ya Choo cha awali.

Comments