Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Geita aendelea na ziara Mbogwe


Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Geita Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwa na wajumbe wa Jumiya ya Wazazi wa Wilaya ya Mbogwe wakishuhudia ujenzi wa Ofisi ya muda uliokuwa ukiendelea katika Ofisi za CCM Masumbwe.

Picha ya Eneo la Ujenzi.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Geita Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi CCM wa Wilaya ya Mbogwe.

Wajumbe wa Jumuiya Wazazi ya Wilaya ya Mbogwe wakimsikiliza Mwenyekiti wao wa Jumuiya hiyo wa Mkoa wa Geita Mhe. Doto Mashaka ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe.

Comments