KONGAMANO LA WAMAMA CHURCH OF GOD TANZANIA KUFANYIKA BUKOMBE

 Wamama wa Kanisa la Church Of God Tanzania wakiwa katika maandamano ya amani mjini Ushirombo.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko,Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Bw.  Josephat Maganga, Diwani wa Kata ya Igulwa Mhe. Richard Mabenga wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kanisa la Church of God Tanzani baada ya kuwasili katika kongamano la wamama Kitaifa lililofanyika kwenye Kanisa linaloongozwa na Nabii Paul Sosera Mjini Ushirombo-Bukombe. 
  
 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko,Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Bw.  Josephat Maganga,Askofu Mkuu wa Church of God Tanzania Sebastian Mcheri na Nabii Paul Sosera wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wamama Taifa Bi. Debora Kulola kuangalia kazi za ujasiliamali zinazofanywa na wamama hao.

 Wamama wajasiliamali wa Kanisa la Church Of God Bukombe

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko,Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Bw.  Josephat Maganga,Askofu Mkuu wa Church of God Tanzania Sebastian Mcheri na Nabii Paul Sosera wakitazama moja ya bidhaa zilizoandaliwa na wamama hao wajasiliamali.

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na waunimini katika kongamano la wamama wa Church Of God Tanzania lilifanyika katika Kanisa la Church of God Bukombe na kuwasihi wazidi kuliombea Taifa liwe na amani na kuwaombea viongozi wake wote.  

Wamama wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko alipokuwa kizungumza katika kongamano hilo.

 




Comments