Jeshi la Polisi Usalama Barabarani Mkoa wa Geita yatoa elimu ya Usalama Barabarani katika Shule ya msingi Mseto

Afande Eliasi Kalemile na Afande Jenipha Solomoni wakitoa elimu ya usalama barabarani katika Shule ya msingi Mseto iliyoko Mjini Geita.

Afande Eliasi Kalemile akitoa elimu ya usalama barabarani kwa vitendo.

 Wanafunzi wa Shule ya msingi Mseto wakimsikiliza Afande Eliasi Kalemile wakati akitoa elimu ya usalama barabarani Shuleni hapo.

Comments