HATIMAYE LOWASSA USO KWA USO NA JPM LEO KWENYE SHEREHE YA MIAKA 50 YA NDOA YA MZEE MKAPA

 Waziri Mkuu wa Zamani na aliyekuwa Mgombea Urais wa chama cha CHADEMA,Mh.Edward Lowassa akijadiliana jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,awamu ya tano,Dk John Pombe Magufuli,mapema leo walipokwenda kushiriki misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh Benjamin William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa jijini Dar leo.
 Picha ya pamoja mara baada ya misa hiyo
  Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh Benjamin William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakifurahia  Jubilei ya Dhahabu ya ndoa jijini Dar leo

Comments