Mbunge Doto Biteko atoa msaada wa baiskeli kwa mlemavu jimboni kwake

 Doto Mashaka Biteko(Mb) akimsikiliza mzee mlemavu alipokuwa akimweleza changamoto anazokutana nazo


 Mbunge wa jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko (mwenye t-shirt ya mistari) wakiwa na Katibu wake bw Benjamini Mgeta(mwenye t-shirt nyeupe), Diwani viti maalum CCM Mhe Elizabeth Ngasa pamoja na wanafamilia wakimshuhudia mzee huyo akijiribu kuiendesha baiskeli baada ya kukabidhiwa


 Doto Mashaka Biteko(Mb) akimuwezesha mtaji mzee huyo mlemavu


Picha ya pamoja baada ya tukio hilo zuri 


Pichani ni Mbunge wa jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akimkabidhi baiskeli ya walemavu pamoja na pesa ya mtaji kwa mlemavu huyo mzee Mafubo Mlondela.
Hata hivyo Mbunge huyo amekuwa akisadia maendeleo mbalimbali ikiwemo shughuli za kijamii ndani na nje ya jimbo lake bila kujali itikadi umri wala jinsia.
Aidha Mhe Doto amewasihi walemavu kuacha kukaa tu na badala yake wajishughulishe kutafuta kipato hata kama ni kidogo kwani anae toa riziki na kusimamia maisha ni Mungu hivyo waone mfano kwa mzee huyo mzee Mafubo Mlondela ambaye ni mlemavu na anajishughulisha na ujasiliamali.

Comments