Mapokezi ya Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Wilayani Bukombe

 Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani(kushoto)naDotoMashakaBiteko[(Mb)wa nne kulia] pamoja na viongozi wa Wakala wa Baraba  TANROADS wakiwa  mpakani kwa mapokezi ya Waziri huyo.

Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga alipowasili ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akisalimiana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Bukombe Bw.Paul Cheyo kwenye ziara ya
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani Wilayani Bukombe.

Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe


Comments