JK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO MJINI DODOMA, NI KIKAO CHAKE CHA MWISHO, WAJUMBE WAPITISHA KWA KISHONDO JINA LA RAIS DK. MAGUFULI
cha NEC
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wakiwa tayari
meza kuu kuendesha kikao hicho. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, mtarajiwa
Rais Dk John Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk.
Ali Mohammed Shein na kulia niMakamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip
Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana 
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilichofanyika leo. Kulis ni Mwenyekiti wa CCM Mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mweyekiti wa
CCM mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais
wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein wakati wa kikao hicho cha NEC
kilichofanyika leo.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein akijadili
jambo na Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Rais Dk. John Magufuli wakati wa
kikao hicho cha NEC kilichofanyika leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akitoa taarifa ya maandalizi ya
mkutano mkuu maalum wa CCM utakaofanyika kesho, Julai 23, 2016, wakati
wa kikao hicho cha NEC. 
Wajumbe wa NEC na Wajume waalikwa wa NEC, wakiwa kwenye kikao hicho. Kutoka kulia ni Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Raijab Luhwavi, Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakia Hamdan Meghji
Katibu
wa NEC Itikasi na Uenezi na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole
Sendeka wakijadiliana jambo wakati wa kikao hicho cha NEC
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakati wakijadili jambo wakati wa
kikao hicho cha NEC kilichofayika leo
Kiti
alichokuwa amekalia Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli
(kushoto), kikiwa wazi baada ya Dk. Magufuli kutoka ukumbi kutoa nafasi
ya jina lake kutajwa na Mwenyekiti wa CCM Dk Jakaya Kikwete (wapili
kushoto), kwa wajumbe wa NEC leo, Kama lilivyopendekezwa na Kikao Cha
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jana kwa
kumpendekeza Dk. Magufuli kuwa Mweneyekiti wa CCM wa awamu ya tano.
Kulia ni Makamu Kwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu wa CCM
Abduulrahman Kinana
Wajumbe
wa NEC wakiwa wamenyoosha mikono kushirikia kulipitisha jina la Rais
Dk. Magufuli kuwa Mwenyekiti wa CCM, kufuatia kulipitisha, jina hilo
kesho litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ili kupigiwa kura ya
ndiyo au hapana.

Viongozi
wa Meza Kuu wakiwa wamesimama kuwaunga mkono wajumbe waliosimama na
kuamsha shamrashamra baada ya jina la Rais Dk John Magufuli kupitishwa
na wajumbe katika kikao hicho cha NEC
Wajumbe wakiwa wamesimama kwa shamrashamra hizo
Mwenyekiti
wa CCM mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli akitoa neno la shukurani baada
ya jina lake kupitishwa na wajumbe wa NEC wakati wa kikao hicho cha NEC
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akimpongeza, Mwenyekiti wa CCM
mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli baada ya maelezo yake mazuri wakati
akitoa neno la shukurani baada ya jina lake kupitishwa na wajumbe wa NEC
Makamu
Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein,akimpongeza,
Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli baada ya maelezo yake
mazuri wakati akitoa neno la shukurani baada ya jina lake kupitishwa na
wajumbe wa NEC
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akionyesha katarasi itakayotumiwa
na wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM kupiga kura
Juma
Borafya kutoka Zanzibar akisimama baada ya kuteuliwa kukubali au
kukataa jina la Dk. Magufuli litakapowasilishwa kwenye Mkutano Mkuu
Maalum wa CCM
Mjumbe wa NEC, Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha akitoa neno la shukrani mwishoni mwa kikao hicho.
Makatibu wa NEC wakiwa kazini kuhakikisha kila jambo la muhimu la kwenye kikao hicho linanukuliwa vema.
Wajumbe wakiwa amejaa ukumbini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilichofanyika leo. Kulis ni Mwenyekiti wa CCM Mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

Wajumbe wa NEC na Wajume waalikwa wa NEC, wakiwa kwenye kikao hicho. Kutoka kulia ni Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Raijab Luhwavi, Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakia Hamdan Meghji

Comments
Post a Comment