BREAKING NEWS

 Mkuu wa Shule ya Sekondari Runzewe Mwl Renatus Bahati Halidi


 Picha ya baadhi ya vyumba vya madarasa ya Shule ya Sekondari Runzewe 


 Jengo la Utawala


 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Runzewe

Shule ya Sekondari Runzewe imefanya vizuri kwa mara nyingine tena  katika matokeo ya kidato cha sita ambapo imeshika nafasi ya 2 kimkoa kati ya shule 8 na ya 27 kitaifa kati ya shule 423  
Akizungumza Mkuu wa Shule hiyo Mwl Renatus Bahati Halidi amewashukuru Walimu,Wazazi na wanafunzi kwa ujmla pamoja uongozi wa ngazi za juu kwa ushirikiano wao kwa kufanikisha ufaulu wa wanafunzi hao na kufafanua matokeo hayo kama ifuatavyo;
  • Division     I- 40
                       II- 82
                       III- 20
                       IV- 0
                       0- 0

Comments