ZIARI YA MKUU WA MKOA WA GEITA KATIKA WILAYA BUKOMBE

 Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga(watatu toka kushoto) alipotembelea Shule ya Sekondari Businda



 Mkuu wa Mkoa wa Geita akiwa ndani ya jengo la maabara ya shule ya sekondari Businda (aliyenyoosha mikomno juu) anayefuata ni Mkurrugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe James Ihunyo na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Aman Mwinegoha.



 Diwani wa Kata ya Katente Bahati Kayagila akizungumza na wananchi katika uwanja wa stendi ya mabasi mjini Ushirombo na kumkaribisha Mkuu mpya wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga



Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Aman Mwinegoha akizungumza na wananchi wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Geita katika uwanja wa stendi ya mabasi mjini Ushirombo.




Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akizungumza na wananchi wa Mji wa Ushirombo Wilayani Bukombe

 Kyunga alisema amefurahishwa na mwitikio wa wananchi hao kwa kuja kumsikiliza na kufahamiana kwa karibu zaidi na kuona hali halisi ya wananchi  hao
 Mkuu huyo aliwapongeza  wananchi wa Bukombe kwa jitihada zao za kufanikisha mazao kwa wingi na kuwasihi wasishawishike kukiuza kiholela na hitimaye kukaribisha njaa
 Pia aliwaeleza wananchi kuwafichua waharifu kiwemo na silaha zao na kutokuwa na imani potovu za kuwauwa vikongwe na walemavu wa ngozi.
Na kuahidi kufanya kazi na wananchi hao bega kwa bega ili kuleta maendeleo ya Bukombe na Taifa kwa ujumla

Comments