ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA - CHATO NA KATORO

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA,CHATO NA KATORO MKOANI GEITA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha gari la wagonjwa  likiwa ni moja kati ya mawili yaliyotolewa msaada na  Bibi Merete Trolle wa Denmark akisaidiwa kulisafilisha had hapa nchini na  Mgodi wa Geita Gold Mine. Makabidhiano hayo yalifanyika. kwenye hospitali ya wilaya ya Chato Machi 16.2016.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanachama wa  Ushirika wa kiwanda cha kuchambua pamba cha Biharamulo Cooperative Union mjini Chato ,Machi 16, 2016.
 Waziri Mkuu, Kasim Majaliiwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Chato , Machi 16, 2016.
 Wasani wa Katoro Geita wakicheza ngoma ya Kisukuma wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo  Machi 17, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara katika mji wa Katoro , Geita Machi 17, 2016.

Comments