MDAU AKITOA UFAFANUZI KWA MHESHIMIWA MBUNGE JUU YA JOSHO HILO LA MIFUGO |
MH Mbunge Doto Biteko alipofanya ziara jimboni kwake kwenye kata ya Iyogelo tarehe 01.03.2016,pamoja na mambo mengi aliyo yafanya katika ziara yake hiyo pia alizindua josho la kuoshea mifugo.
MH MBUNGE DOTO BITEKO WA PILI KULIA AKISIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA IYOGERO |
MH MBUNGE DOTO BITEKO AKIPOKEWA NAWANANCHI WA KATA YA IYOGERO |
Comments
Post a Comment