Leo march
20 2016 Wananchi wa Zanzibar wamepata fursa ya kupiga kura na kuwachagua
viongozi wao, na hii ni baada ya kufutwa kwa uchaguzi wa awali
uliofanyika october 25 2016.
Viongozi
mbalimbali pia wamejitokeza na kutumia nafasi hiyo akiwemo Rais wa
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu
na wengine
Rais Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura
.
Rais Dk.Ali Mohamed Shein katika foleni kusubiri kupiga kura
Wananchi wakisubiri kupiga kura
.
Makamau wa Rais Samia Suluhu akipiga kura
Rais Shein akihakiki jina lake
Chanzo; Msombe TZA
Comments
Post a Comment