![]() |
MH MBUNGE DOTO BITEKO WA PILI KULIA AKISILIZA UTEKELEZWAJI WA MRADI WA MIVARF KATIKA JIMBO LAKE. |
Mradi wa MIVARF umeanza kutekelezwa wilaya ya Bukombe ambapo utajenga soko la kisasa la Namonge pamoja na kujenga barabara ya ya kutoka Uyovu -Kabagole-Nakayenze.
![]() | |||
UWASILISHWAJI UKIENDELEA KUFANYIKA JUU YA MRADI WA MIVARF. |
![]() | |||
MWEZESHAJI AKIZIDI KUFANYA UWASILISHAJI JUU YA MRADI HUO |
![]() |
WADAU MBALIMBALI WAKIFUATILIA UWASILISHAJI WA MRADI WA MIVARF WILAYANI BUKOMBE |
Comments
Post a Comment