MBUNGE AKIWA NA WANAFUNZI,WAALIMU WA RUNZEWE SEKONADARI

Mh. Mbunge Doto Mashaka Biteko wa pili kulia akiwa na waalimu pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari Runzewe alipowatembelea shuleni hapo kwa ajili ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri kitaaluma.

ZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE MH. DOTO MASHAKA BITEKO KATIKA SHULE YA SEKONDARI RUNZEWE

Akiwasikiliza waalimu kero na changamoto zao pamoja kuwapongeza juu ya ufaulu mzuri wa kidato cha sita 2015.

Comments

Post a Comment