Majumuisho ya ziara ya Mh. Mbunge Doto Mashaka Biteko - JIMBO LA BUKOMBE


                                                                                                                                                          PICHA ZA MADIWANI NA HOJA ZAO KATIKA KIKAO CHA MAJUMUISHO

Uchangiaji wao ulikuwa kama ifuatavyo; kujifunza kutoka kwa mbunge namna ya utendaji kazi wake na kumpongeza.Ombi la kupelekewa umeme katika mradi wa maji,upungufu wa madarasa,madawati,usafiri kwa wataalamu,upungufu wa nyumba za watumishi,tatizo la upandaji wa madaraja kwa watumishi na kumuomba Mh. Mbunge kutafuta wawekezaji katika Jimbo la Bukombe.

Comments