MAAFISA WA SUMATRA WAKIZUNGUMZA NA WAMILIKI PAMOJA NA MADEREVA PIKIPIKI

MAAFISA WA SUMATRA MKOA WA GEITA WAKIZUNGUMZA NA WAMILIKI PAMOJA NA MADEREVA PIKIPIKI WA MJINI USHIROMBO.





 Afisa wa SUMATRA bwana Hagai R. Emil akielezea juu ya umuhimu wa Dereva kuwa na leseni,kulipia Bima ya Pikipiki, Suala la mkataba baina ya wamiliki wa pikipiki na madereva wao na kuwahamasisha kuwa na Umoja wa waendesha Pikipiki ki-wilaya katika ukumbi wa Peoples Pub - Mjini Ushirombo.
Mh. Diwani wa Kata ya Bulangwa - Yusuph akiwasihi wamiliki pamoja na madereva pikipiki maarufu kama
bodaboda kuwa watulivu baada ya kuambiwa na maafisa wa SUMATRA kulipia mapato na kuwaahidi kufanya ufuatiliaji wa kina na kuwarudishia majibu ya suala hilo kwani ni geni kwa wananchi hao.


Comments