KIKAO CHA WAMILIKI WA PIKPIKI NA SUMATRA Machi22. 2016


Mmoja wa wamiliki wa pikipiki akitoa hoja kuhusu SUMATRA
 (mwenye tisheti ya njano kwenye kona) 


Afisa wa polisi akifafanua taratibu na sheria za usaalama barabarani na kuwasihi wamiliki wa pikipiki kuwakatia leseni madereva wao pamoja na kulipia bima kwa wakati.
Na kukemea ubebaji wa namna hii.
 
 Afisa wa SUMATRA akizidi kutoa Elimu juu ya kulipia Sumatra na  kuwaeleza kuwa SUMATRA siyo ushuru mdogomdogo bali ni leseni ya usafirishaji na kumwomba Afisa biashara kulipitia suala hili kwa upya na kuliweka vizuri.
Mara baada ya  Madiwani wa Kata tatu Bulangwa, Katente na Igulwa walipodai kwa ujumla wao hawalijui hili suala kwa kina na kuwaomba wamiliki wa pikipiki muda kwa mara nyingine tena  baada ya kikao kilichofanyika Machi 16. 2016 kuto patiwa majibu na hatimaye kurudi na majibu yaleyale kuto lijua suala hilo kwa kina.     







Comments

  1. kazi nzuri sana kuwaelimisha watu wa bodaboda maana elimu ndo kitu mhimu katika kupunguza jari hasa katika vyombo vya moto

    ReplyDelete

Post a Comment