WEZI WA CARBON KATIKA PLANT YA MSINDIKWA WAKAMATWA

Jeshi la polisi limewafikisha mahakamani watu tisa kwa kosa la wizi wa kutumia silaha katika eneo la Plant ya Ndg Deus Bahati katika Kijiji cha Msindikwa Wilayani Bukombe. Watuhumiwa hao walifanya ualifu huo mnamo saa 6 usiku tarehe 22/03/2016 kwa kutumia silaha za jadi  na kufanikiwa kupora Carbon yenye thamani ya shilingi Milioni arobaini.
     Watuhumiwa wote tisa walikana shitaka hilo na Mahakama kuamuru washitakiwa hao kurudishwa rumande hadi tarehe 13/04/2016 kesi  takaposikilizwa tena .

                                   Picha ya watuhumiwa wakisubiri kupelekwa lumande


Yafuatayo ni majina ya watuhumiwa hao;
  1.  Mashaka Peter (29)
  2.   Kulwa John (28)  
  3. Jamea Charles (22)
  4. Baraka Amili (24)  
  5. Fabiani Ignes (25)
  6. Kishosho Mayunga (25)
  7. Robert Mwita (40)
  8. Sayi Malimi (33)
  9. Deus Kaisira (27)            

Comments